Wasomaji wa Blog hii
Wengi
wameniandikia wakitaka kujua viungo, majani, mizizi na vyakula vilivyotajwa
vinapatikana wapi. Aidha wengi pia wanapata tabu kutafsiri maneno ya Kiingereza
kwenda Kiswahili.
Napenda
kuwaarifu kuwa vitu vingi vinapatikana:
1. Uchumi Supermarket
Quality Centre - Nyerere Road
2. Sokoni Kariakoo
3. Sokoni Kisutu
4. Maduka ya Wahindi
Kisutu
5. Pia mnaweza
kuulizia Supermakets nyingine
Kama una tatizo Fulani na
ungependa niweke bandiko lake, tafadhali nijulishe kupitia:
E-Mail: mtsimbe@gmail.com
Skype: sanctus_mtsimbe
Facebook: Sanctus Mtsimbe
Habari ya leo Doctor, Mimi ninatatizo la kutoka kama kijipu kwenye njia ya haja kubwa pembeni ni kigumu na kinauma wakati wa kutawadha.
ReplyDeleteJe ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?.Mara ya kwanza nilidhani papasi wale wadudu wanaopenda kukaa kwa wanyama wanaokuwa wananyoja damu ya wanyama kama mbwa ng'ombe n.k. Nitashukuru kwa kunisaidia matibabu yake.
jibu lake sijaliona
ReplyDelete