Sunday, June 30, 2013

DVD ya Jinsi ya Kupunguza Unene na Kitambi Kupatikana Kuanzia Tarehe 10 Julai 2013

Share it Please
Premium Copy: Direct Purchase - TZS 10,000.00
Standard Copy; Available via Agents: TZS 2,500.00
Wholesale Price: TZS 1800.00

Available Now: Call Mariam +255 767 76 76 76






1 comment:

  1. Kwanza nianze kwa kuisifia blog yako kwa kuwa nzuri na ya kupendeza. Ni mojawapo ya blog zinazovutia kusoma.

    Pili nizungumzie hasa kilichonifanya nitamani kuandika. Lugha ya kiingereza ni nzuri kwakuwa ina misamiati mimi. Mimi ninaweza kuongea kingereza vizuri ila linapokuja swala la kila tiba iko kingereza nakuwa naachwa. Nilituma link ya hii blog kwa marafiki zangu wengi ila wote waliishia kusema ni nzuri tatizo lugha.

    Niliona uliweka tangazo kuwa ungetafsiri ila hadi leo naona bado iko vile vile. Imekuwa kama bongo movie. Kasha la DVD lina jina la kingereza ila filamu ni ya kiswahili. Kama ungependa kupata watanzania wengi wakusoma hii blog unaonaje kama ukifanyia kazi swala la kutafsiri??

    ReplyDelete

Followers

News And Updates

Sign up to receive news as well as receive other blog updates!

Enter your email address:

Follow The Author