This Remedies is available in both Swahili and English Language (Just below Swahili post)
Kuongeza Uzito:
• Kuna baadhi ya watu wana uzito
mdogo kuliko ule unaotakiwa kiafya
• Hali hii inajulikana kama
underweight au “Uzito Mdogo” au “Kupungua” au “Wembamba” au “Uzito Pungufu”.
Dalili za Kuangalia:
• Unapokuwa na uzito pungufu, hii
inaweza kusababisha:
o Kupoteza afya ya
mifupa
o Matatizo ya Moyo
o Matatizo ya Uzazi
o Upungufu wa Lishe
Muhimu
o Upungufu wa damu
o Kinga dhaifu ya
magonjwa
o Kuugua mara kwa mara
Nini Kinasababisha:
• Kuwa na Kazi Nyingi Zinazotumia
Nguvu
• Kutokula chakula wakati wa mlo
• Kufunga
• Msongo wa Mawazo
• Sababu za Urithi (Vinasaba)
• Kuwa na Hyper-active thyroid inayosababisha
kwenda haja kubwa mara kwa mara
• Uwezo wa mfumo wa kusaga na
kunyonya chakula kushindwa kunyonya chakula kutokana na mwili kukosa mafuta.
Njia ya asili ya kutibu tatizo la
kukonda kwa kutumia using Makuyu na Zabibu
Kavu:
1. Chukua kiasi cha Makuyu 6 yaliyokaushwa
2. Chukua kiasi cha Gramu 30 Cha
Zabibu Zilizokaushwa
3. Ziloweke zote katika maji kwa
usiku mzima
4. Tumia mara mbili kwa siku
Njia ya asili ya kutibu tatizo la
kukonda kwa kutumia ashwagandha (Unga wa Kihindi), Maziwa ya Moto and Samli:
1. Chukua Glaa 1 la Maziwa ya Moto
2. Ongeza vijiko 2 vya Chakula vya
unga wa ashwagandha, (Mitishamba ya ayurvedic) (Ulizia maduka ya wahindi)
3. Ongeza Kijiko 1 cha Samli
4. Changanya vizuri
5. Kunywa mara mbili kila mwezi.
6. fanya hivyo kwa mwezi 1.
Njia ya asili ya kutibu tatizo la
kukonda kwa kutumia Maembe na Maziwa:
1. Kula Embe zima moja, rudia hivyo
mara 3 kwa siku.
2. Kila unapomaliza kula, kunywa
glass moja ya maziwa
3. Fanya hivyo kwa mwezi moja
Weight Gain:
• Several people weigh less than
their ideal body weight
• The condition is referred to as
being underweight
Symptoms to look for:
• Being underweight can lead to:
o Bone loss
o Heart problems
o Infertility
o Lack of nutrition
o Anaemia
o Weak immune system
o Frequent bouts of
illness
Causes:
• Excessive physical activity
• Skipping meals
• Fasting
• Emotional stress
• Genetic factors
• Hyper-active thyroid leading to
frequent bowel movement
• Inability to absorb food causing
loss of fat
Natural home remedy using figs and
raisins:
1. Take 6 dried figs
2. Take 30 g raisins
3. Soak both in water overnight
4. Eat in 2 doses through the next
day
Natural home remedy using
ashwagandha, hot milk and clarified butter:
1. Take 1 glass hot milk
2. Add 2 tbsp ashwagandha powder,
commonly available ayurvedic herb (You can ask the packed powder in Indians shops)
3. Add 1 tsp clarified butter
4. Mix well
5. Drink twice every day
6. Do this for 1 month
Natural home remedy using mango and
milk:
1. Eat 1 ripe mango 3 times a day
2. Follow it up by drinking 1 glass
of milk
3. Do this for 1 month
No comments:
Post a Comment