Tumepokea Email nyingi sana zikiomba
kuwa maelezo yaliyotolewa katika Blog hii ni mazuri sana lakini mengine ni ya
kitaalamu sana na ni vigumu kuyaelewa na hivyo kuomba tafsiri itolewe.
Tutayafanyia
kazi maombi yote na kuanza kufanyia tafsiri next week.
Pia matatizo
ambayo hayajatolewa maelezo, tutajitahidi kupata maelezo yake.
NB: Ushauri
unaotolewa hapa unahusisha lishe tu; tafadhali wakati wote ukiwa na wasiwasi
wasiliana kwanza na Daktari wako kabla ya kutumia.
mtsimbe@gmail.com
nice blog, i loved it as it uses natural theraputics and thats makes us away from convetional medicines.
ReplyDelete