
Utangulizi: Mafanikio Na Utajiri
Umezaliwa ili Ufanikiwe! Kila anayetaka anaweza kufanikiwa. Yeyote atakayekwambia tofauti na hili atakuwa hana ufahamu juu ya kanuni za mafanikio.
Blog hii ni ya kuelimishana na kubadilishana mawazo juu ya nini kifanyike katika maisha ili mafanikio yapatikane, na pia ni kwa namna gani mtu yeyote anaweza...